"Kiolesura"
"Ungependa Kuwasha Kiokoa Betri?"
"Umebakiza asilimia %s ya betri. Kiokoa Betri kinawasha Mandhari meusi, kinazuia shughuli za chinichini na kuchelewesha arifa."
"Kiokoa Betri kinawasha Mandhari meusi, kinazuia shughuli za chinichini na kuchelewesha arifa."
"Imebakisha %s"
"Haiwezi kuchaji kupitia USB"
"Tumia chaja ambayo ilikuja na kifaa chako"
"Ungependa Kuwasha Kiokoa Betri?"
"Kuhusu Kiokoa betri"
"Washa"
"Washa"
"Hapana"
"Skrini ijizungushe kiotomatiki"
"Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?"
"Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?\nProgramu hii haijapewa ruhusa ya kurekodi lakini inaweza kurekodi sauti kupitia kifaa hiki cha USB."
"Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?"
"Ungependa kufungua %1$s ishughulikie %2$s?"
"Programu hii haijapewa ruhusa ya kurekodi lakini inaweza kurekodi sauti kupitia kifaa hiki cha USB. Ukitumia %1$s kwenye kifaa hiki huenda usisikie simu, arifa na kengele."
"Ukitumia %1$s kwenye kifaa hiki huenda usisikie simu, arifa na kengele."
"Ungependa kuruhusu %1$s ifikie %2$s?"
"Ungependa kufungua %1$s ili itumie %2$s?"
"Ungependa kufungua %1$s ishughulikie %2$s?\nProgramu hii haijapewa ruhusa ya kurekodi lakini inaweza kurekodi sauti kupitia kifaa hiki cha USB."
"Ungependa kufungua %1$s ili itumie %2$s?"
"Hakuna programu zilizosakinishwa zinazofanya kazi na kifaa hiki cha USB. Pata maelezo zaidi kuhusu kifaa hiki kwenye %1$s"
"Kifaa cha Usb"
"Ona"
"Fungua %1$s kila wakati %2$s imeunganishwa"
"Fungua %1$s kila wakati %2$s imeunganishwa"
"Ruhusu utatuaji wa USB?"
"Kitambulisho dijitali cha kifunguo cha RSA cha kompyuta ni:\n%1$s"
"Ruhusu kutoka kwenye kompyuta hii kila wakati"
"Ruhusu"
"Utatuzi wa USB hauruhusiwi"
"Mtumiaji aliyeingia katika akaunti kwa kutumia kifaa hiki kwa sasa hawezi kuwasha utatuzi wa USB. Ili utumie kipengele hiki, tumia akaunti ya mtumiaji wa msingi."
"Ungependa kubadilisha lugha ya mfumo kuwa %1$s?"
"Mabadiliko ya lugha ya mfumo yameombwa na kifaa kingine"
"Badilisha lugha"
"Usibadilishe lugha ya sasa"
"Ungependa kuruhusu utatuzi usiotumia waya kwenye mtandao huu?"
"Jina la Mtandao (SSID)\n%1$s\n\nAnwani ya Wi-Fi (BSSID)\n%2$s"
"Ruhusu kila wakati kwenye mtandao huu"
"Ruhusu"
"Utatuzi usiotumia waya hauruhusiwi"
"Mtumiaji aliyeingia katika akaunti kwenye kifaa hiki kwa sasa hawezi kuwasha utatuzi usiotumia waya. Ili utumie kipengele hiki, badilisha utumie akaunti ya mtumiaji wa msingi."
"Mlango wa USB umezimwa"
"Ili ulinde kifaa chako dhidi ya vitu vyenye unyevu au uchafu, mlango wa USB umezimwa na hautatambua vifaa vyovyote.\n\nUtaarifiwa itapokuwa sawa kutumia mlango wa USB tena."
"Mlango wa USB umewezeshwa ili utambue chaja na vifuasi"
"Washa kipengele cha USB"
"Pata maelezo zaidi"
"Picha ya skrini"
"Kipengele cha Smart Lock kimezimwa"
"imetuma picha"
"Inahifadhi picha ya skrini..."
"Inahifadhi picha ya skrini kwenye wasifu wa kazini…"
"Imehifadhi picha ya skrini"
"Imeshindwa kuhifadhi picha ya skrini"
"Ni sharti ufungue kifaa kabla ya kuhifadhi picha ya skrini"
"Jaribu kupiga picha ya skrini tena"
"Imeshindwa kuhifadhi picha ya skrini"
"Programu au shirika lako halikuruhusu kupiga picha za skrini"
"Kupiga picha za skrini kumezuiwa na Msimamizi wako wa TEHAMA"
"Badilisha"
"Badilisha picha ya skrini"
"Shiriki picha ya skrini"
"Nasa zaidi"
"Ondoa picha ya skrini"
"Ondoa ujumbe wa wasifu wa kazini"
"Onyesho la kukagua picha ya skrini"
"Mpaka wa sehemu ya juu wa asilimia %1$d"
"Mpaka wa sehemu ya chini wa asilimia %1$d"
"Mpaka wa sehemu ya kushoto wa asilimia %1$d"
"Mpaka wa sehemu ya kulia wa asilimia %1$d"
"Imehifadhiwa kwenye %1$s katika wasifu wa kazini"
"Faili"
"%1$s imetambua picha hii ya skrini."
"%1$s na zingine zinazotumika zimetambua picha hii ya skrini."
"Kinasa Skrini"
"Inachakata rekodi ya skrini"
"Arifa inayoendelea ya kipindi cha kurekodi skrini"
"Ungependa kuanza kurekodi?"
"Wakati wa kurekodi, Mfumo wa Android unaweza kunasa maelezo yoyote nyeti yanayoonekana kwenye skrini au yanayochezwa kwenye kifaa chako. Hii ni pamoja na manenosiri, maelezo ya malipo, picha, ujumbe na sauti."
"Rekodi skrini nzima"
"Rekodi programu moja"
"Unaporekodi, Android inaweza kufikia kitu chochote kitakachoonekana kwenye skrini yako au kuchezwa kwenye kifaa chako. Hivyo kuwa mwangalifu na manenosiri, maelezo ya malipo, ujumbe au maelezo mengine nyeti."
"Unaporekodi programu, Android inaweza kufikia kitu chochote kitakachoonekana au kuchezwa kwenye programu hiyo. Hivyo kuwa mwangalifu na manenosiri, maelezo ya malipo, ujumbe au maelezo mengine nyeti."
"Anza kurekodi"
"Rekodi sauti"
"Sauti ya kifaa"
"Sauti kutoka kwenye kifaa chako, kama vile muziki, simu na milio ya simu"
"Maikrofoni"
"Maikrofoni na sauti ya kifaa"
"Anza"
"Inarekodi skrini"
"Inarekodi skrini na sauti"
"Onyesha sehemu za kugusa kwenye skrini"
"Acha"
"Shiriki"
"Imehifadhi rekodi ya skrini"
"Gusa ili uangalie"
"Hitilafu imetokea wakati wa kufuta rekodi ya skrini"
"Hitilafu imetokea wakati wa kuanza kurekodi skrini"
"Nyuma"
"Nyumbani"
"Menyu"
"Zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia"
"Zungusha skrini"
"Muhtasari"
"Kamera"
"Simu"
"Mapendekezo ya Sauti"
"Pochi"
"Kichanganuzi cha Msimbo wa QR"
"Imefunguliwa"
"Kifaa kimefungwa"
"Inachanganua uso"
"Tuma"
"Ghairi"
"Thibitisha"
"Jaribu tena"
"Gusa ili ughairi uthibitishaji"
"Tafadhali jaribu tena"
"Inatafuta uso wako"
"Uso umethibitishwa"
"Imethibitishwa"
"Gusa Thibitisha ili ukamilishe"
"Imefunguliwa kwa kutumia uso wako. Bonyeza aikoni ya kufungua ili uendelee."
"Imefunguliwa kwa kutumia uso wako. Bonyeza ili uendelee."
"Uso umetambuliwa. Bonyeza ili uendelee."
"Uso umetambuliwa. Bonyeza aikoni ya kufungua ili uendelee."
"Umethibitishwa"
"Tumia PIN"
"Tumia mchoro"
"Tumia nenosiri"
"Nambari ya PIN si sahihi"
"Mchoro si sahihi"
"Nenosiri si sahihi"
"Majaribio mengi mno yasiyo sahihi.\nJaribu tena baada ya sekunde %d."
"Jaribu tena. Jaribio la %1$d kati ya %2$d."
"Data yako itafutwa"
"Ukiweka mchoro usio sahihi utakapojaribu tena, data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa."
"Ukiweka PIN isiyo sahihi utakapojaribu tena, data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa."
"Ukiweka nenosiri lisilo sahihi utakapojaribu tena, data iliyo kwenye kifaa hiki itafutwa."
"Ukiweka mchoro usio sahihi utakapojaribu tena, maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa."
"Ukiweka PIN isiyo sahihi utakapojaribu tena, maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa."
"Ukiweka nenosiri lisilo sahihi utakapojaribu tena, maelezo ya mtumiaji huyu yatafutwa."
"Ukiweka mchoro usio sahihi utakapojaribu tena, wasifu wako wa kazini utafutwa pamoja na data yake."
"Ukiweka PIN isiyo sahihi utakapojaribu tena, wasifu wako wa kazini utafutwa pamoja na data yake."
"Ukiweka nenosiri lisilo sahihi utakapojaribu tena, wasifu wako wa kazini utafutwa pamoja na data yake."
"Gusa kitambua alama ya kidole"
"Imeshindwa kutambua uso. Tumia alama ya kidole."
"Imeshindwa kutambua uso"
"Badala yake, tumia alama ya kidole"
"Kipengele cha Kufungua kwa Uso hakipatikani"
"Bluetooth imeunganishwa."
"Asilimia ya betri haijulikani."
"Imeunganishwa kwenye %s."
"Imeunganishwa kwenye %s."
"Haijaunganishwa."
"Mitandao ya ng\'ambo"
"Zima"
"Hali ya ndegeni."
"VPN imewashwa."
"Asilimia %d ya betri"
"Betri ina asilimia %1$d, hadi %2$s"
"Betri inachaji, asilimia %d."
"Betri ina asilimia %d, imesitisha kuchaji ili kulinda betri."
"Betri ina asilimia %1$d, hadi %2$s, imesitisha kuchaji ili kulinda betri."
"Angalia arifa zote"
"Kichapishaji cha Tele kimewezeshwa."
"Mtetemo wa mlio"
"Mlio wa simu uko kimya."
"Kivuli cha arifa."
"Mipangilio ya haraka."
"Mipangilio ya haraka na Sehemu ya arifa."
"Skrini iliyofungwa."
"Skrini iliyofungwa ya kazini"
"Funga"
"kimya kabisa"
"kengele pekee"
"Usinisumbue."
"Bluetooth"
"Bluetooth imewashwa."
"Kengele imewashwa na italia %s."
"Muda zaidi."
"Muda kidogo"
"Utumaji wa skrini umesitishwa."
"Ung\'aavu wa skrini"
"Data ya mtandao wa simu imesitishwa"
"Data imesitishwa"
"Umefikia kikomo cha data ulichoweka. Hutumii tena data ya simu.\n\nUkiendelea, huenda ukatozwa ada ya matumizi ya data."
"Endelea"
"Maombi ya eneo yanatumika"
"Kipengele cha kuzima vitambuzi kimewashwa"
"Futa arifa zote."
"+ %s"
"{count,plural, =1{Kuna arifa # zaidi ndani ya kikundi.}other{Kuna arifa # zaidi ndani ya kikundi.}}"
"Skrini imefungwa sasa katika uelekezo wa mandhari."
"Skrini imefungwa katika uelekeo wa picha."
"Sanduku la Vitindamlo"
"Taswira ya skrini"
"Ethernet"
"Usinisumbue"
"Bluetooth"
"Hakuna vifaa vilivyooanishwa vinavyopatikana"
"Chaji ya betri ni %s"
"Sauti"
"Vifaa vya sauti"
"Vifaa vya kuingiza sauti"
"Visaidizi vya Kusikia"
"Inawasha..."
"Zungusha kiotomatiki"
"Skrini ijizungushe kiotomatiki"
"Mahali"
"Taswira ya skrini"
"Ufikiaji wa kamera"
"Ufikiaji wa maikrofoni"
"Unapatikana"
"Umezuiwa"
"Kifaa cha faili"
"Mtumiaji"
"Wi-Fi"
"Intaneti"
"Mitandao inapatikana"
"Mitandao haipatikani"
"Hakuna mitandao ya Wi-Fi inayopatikana"
"Inawasha..."
"Kutuma kwenye Skrini"
"Inatuma"
"Kifaa hakina jina"
"Hakuna vifaa vilivyopatikana"
"Wi-Fi haijaunganishwa"
"Ung\'avu"
"Ugeuzaji rangi"
"Usahihishaji wa rangirangi"
"Ukubwa wa fonti"
"Dhibiti watumiaji"
"Nimemaliza"
"Funga"
"Imeunganishwa"
"Imeunganishwa, kiwango cha betri ni %1$s"
"Inaunganisha..."
"Mtandaopepe"
"Inawasha..."
"Kiokoa Data kimewashwa"
"{count,plural, =1{Kifaa #}other{Vifaa #}}"
"Tochi"
"Kamera inatumika"
"Data ya simu"
"Matumizi ya data"
"Data iliyosalia"
"Imezidi kikomo"
"%s imetumika"
"kikomo %s"
"Onyo %s"
"Programu za kazini"
"Mwanga wa Usiku"
"Itawashwa machweo"
"Hadi macheo"
"Itawashwa saa %s"
"Hadi %s"
"Mandhari meusi"
"Kiokoa betri"
"Itawashwa machweo"
"Hadi macheo"
"Itawashwa saa %s"
"Hadi saa %s"
"Itawashwa wakati wa kulala"
"Hadi wakati wa kulala unapokwisha"
"NFC"
"NFC imezimwa"
"NFC imewashwa"
"Rekodi ya skrini"
"Anza kurekodi"
"Acha kurekodi"
"Hali ya kutumia kwa mkono mmoja"
"Ungependa kuwacha kuzuia maikrofoni ya kifaa?"
"Ungependa kuwacha kuzuia kamera ya kifaa?"
"Ungependa kuwacha kuzuia kamera na maikrofoni ya kifaa?"
"Hatua hii huruhusu programu na huduma zote zenye idhini zitumie maikrofoni yako."
"Hatua hii huruhusu programu na huduma zote zenye idhini zitumie kamera yako."
"Hatua hii huruhusu programu na huduma zote zenye idhini zitumie kamera au maikrofoni yako."
"Maikrofoni imezuiwa"
"Kamera imezuiwa"
"Maikrofoni na kamera zimezuiliwa"
"Ili uondoe kizuizi, sogeza swichi ya faragha kwenye kifaa chako uiweke kwenye nafasi ya kuwasha maikrofoni ili uruhusu ufikiaji wa maikrofoni. Rejelea mwongozo wa kifaa ili uitambue swichi ya faragha kwenye kifaa chako."
"Ili uondoe kizuizi, sogeza swichi ya faragha kwenye kifaa chako uiweke kwenye nafasi ya kuwasha kamera ili uruhusu ufikiaji wa kamera. Rejelea mwongozo wa kifaa ili uitambue swichi ya faragha kwenye kifaa chako."
"Ili uwaondolee vizuizi, sogeza swichi ya faragha kwenye kifaa uiweke kwenye nafasi ya kuondoa kizuizi ili uruhusu ufikiaji. Rejelea mwongozo wa kifaa ili uitambue swichi ya faragha kwenye kifaa chako."
"Maikrofoni inapatikana"
"Kamera inapatikana"
"Maikrofoni na kamera zinapatikana"
"Kifaa kingine"
"Washa Muhtasari"
"Hutasumbuliwa na sauti na mitetemo, isipokuwa kengele, vikumbusho, matukio na simu zinazopigwa na watu uliobainisha. Bado utasikia chochote utakachochagua kucheza, ikiwa ni pamoja na muziki, video na michezo."
"Hutasumbuliwa na sauti na mitetemo, isipokuwa kengele. Bado utasikia chochote utakachochagua kucheza, ikiwa ni pamoja na muziki, video na michezo."
"Badilisha upendavyo"
"Hatua hii huzuia mitetemo na sauti ZOTE, ikiwa ni pamoja na inayotokana na kengele, muziki video na michezo. Bado utaweza kupiga simu."
"Hatua hii huzuia sauti na mitetemo YOTE, ikiwa ni pamoja na ile inayotokana na kengele, muziki, video na michezo."
"Gusa tena ili ufungue"
"Gusa tena"
"Telezesha kidole juu ili ufungue"
"Bonyeza aikoni ya kufungua ili ufungue"
"Imefunguliwa kwa kutumia uso wako. Telezesha kidole juu ili ufungue."
"Imefunguliwa kwa kutumia uso wako. Bonyeza aikoni ya kufungua ili ufungue."
"Imefunguliwa kwa kutumia uso wako. Bonyeza ili ufungue."
"Uso umetambuliwa. Bonyeza ili ufungue."
"Uso umetambuliwa. Bonyeza aikoni ya kufungua ili ufungue."
"Imefunguliwa kwa kutumia uso"
"Uso umetambuliwa"
- "Sogeza kushoto"
- "Sogeza chini"
- "Sogeza kulia"
- "Sogeza juu"
"Telezesha kidole juu ili ujaribu tena"
"Fungua ili utumie NFC"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na %s"
"Kifaa hiki kimetolewa na %s"
"Telezesha kidole kutoka kwa aikoni ili ufikie simu"
"Telezesha kidole kutoka aikoni ili upate mapendekezo ya sauti"
"Telezesha kidole kutoka aikoni ili ufikie kamera"
"Kimya kabisa. Hatua hii pia itanyamazisha wasomaji wa skrini."
"Kimya kabisa"
"Kipaumbele tu"
"Kengele pekee"
"Kimya\nkabisa"
"Kipaumbele\npekee"
"Kengele\npekee"
"%2$s Inachaji bila kutumia waya • Itajaa baada ya %1$s"
"%2$s • Inachaji • Itajaa baada ya %1$s"
"%2$s • Inachaji kwa kasi • Itajaa baada ya %1$s"
"%2$s • Inachaji polepole • Itajaa baada ya %1$s"
"%2$s • Inachaji • Itajaa baada ya %1$s"
"Badili mtumiaji"
"menyu ya kuvuta chini"
"Data na programu zote katika kipindi hiki zitafutwa."
"Karibu tena mgeni!"
"Je, unataka kuendelea na kipindi chako?"
"Anza upya"
"Ndiyo, endelea"
"Matumizi ya wageni"
"Unatumia hali ya wageni"
\n\n"Kuongeza mtumiaji mpya kutaondoa matumizi ya wageni yaliyopo na kufuta programu na data kutoka kwenye kipindi cha mgeni cha sasa."
"Umefikia kima cha juu cha watumiaji"
"{count,plural, =1{Unaweza kuweka mtumiaji mmoja pekee.}other{Unaweza kuweka hadi watumiaji #.}}"
"Je, ungependa kuondoa mtumiaji?"
"Programu na data yote ya mtumiaji huyu itafutwa."
"Ondoa"
"%s itaweza kufikia maelezo yote yanayoonekana kwenye skrini yako au yanayochezwa kwenye kifaa chako wakati wa kurekodi au kutuma. Hii ni pamoja na maelezo kama vile manenosiri, maelezo ya malipo, picha, ujumbe na sauti unayocheza."
"Huduma inayotoa utendaji huu itaweza kufikia maelezo yote yanayoonekana kwenye skrini yako au yanayochezwa kwenye kifaa chako wakati wa kurekodi au kutuma. Hii ni pamoja na maelezo kama vile manenosiri, maelezo ya malipo, picha, ujumbe na sauti unayocheza."
"Ungependa kuanza kurekodi au kutuma?"
"Ungependa kuanza kurekodi au kutuma ukitumia %s?"
"Ungependa kuruhusu programu ya %s ishiriki au kurekodi?"
"Skrini nzima"
"Programu moja"
"Unapotuma, kurekodi au kushiriki, programu ya %s inaweza kufikia kitu chochote kitakachoonekana kwenye skrini yako au kuchezwa kwenye kifaa chako. Hivyo kuwa mwangalifu na manenosiri, maelezo ya malipo, ujumbe au maelezo mengine nyeti."
"Unapotuma, kurekodi au kushiriki programu, programu ya %s inaweza kufikia kitu chochote kitakachoonekana au kuchezwa kwenye programu hiyo. Hivyo kuwa mwangalifu na manenosiri, maelezo ya malipo, ujumbe au maelezo mengine nyeti."
"Endelea"
"Shiriki au rekodi programu"
"Ungependa kuruhusu programu hii ishiriki au irekodi?"
"Unapotuma, kurekodi au kushiriki, programu hii inaweza kufikia kitu chochote kitakachoonekana kwenye skrini yako au kuchezwa kwenye kifaa chako. Hivyo kuwa mwangalifu na manenosiri, maelezo ya malipo, ujumbe au maelezo mengine nyeti."
"Unapotuma, kurekodi au kushiriki programu, programu hii inaweza kufikia kitu chochote kitakachoonekana au kuchezwa kwenye programu hiyo. Hivyo kuwa mwangalifu na manenosiri, maelezo ya malipo, ujumbe au maelezo mengine nyeti."
"Umezuiwa na msimamizi wako wa TEHAMA"
"Mchakato wa kurekodi skrini umezimwa na sera ya kifaa"
"Futa zote"
"Dhibiti"
"Historia"
"Mpya"
"Kimya"
"Arifa"
"Mazungumzo"
"Futa arifa zote zisizo na sauti"
"Kipengele cha Usinisumbue kimesitisha arifa"
"Anza sasa"
"Hakuna arifa"
"Hakuna arifa mpya"
"Fungua ili uone arifa za zamani"
"Kifaa hiki kinadhibitiwa na mzazi wako"
"Shirika lako linamiliki kifaa hiki na huenda likafuatilia trafiki ya mtandao"
"%1$s inamiliki kifaa hiki na huenda ikafuatilia trafiki ya mtandao"
"Kifaa hiki kimetolewa na %s"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako na kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s na kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %2$s"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako na kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia VPN"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s na kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia VPN"
"Huenda shirika lako likafuatilia shughuli kwenye mtandao katika wasifu wako wa kazini"
"Huenda %1$s ikafuatilia shughuli kwenye mtandao katika wasifu wako wa kazini"
"Shughuli za mtandao za wasifu wa kazini zinaonekana kwa msimamizi wako wa TEHAMA."
"Huenda mtandao unafuatiliwa"
"Kifaa hiki kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia VPN"
"Programu zako za kazini zimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s"
"Programu zako binafsi zimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s"
"Kifaa hiki kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s"
"Kifaa hiki kimetolewa na %s"
"Udhibiti wa kifaa"
"VPN"
"Kumbukumbu ya matumizi ya mtandao"
"Vyeti vya CA"
"Angalia Sera"
"Angalia vidhibiti"
"Kifaa hiki kinamilikiwa na %1$s.\n\nMsimamizi wako wa TEHAMA anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, data inayohusiana na kifaa chako na maelezo kuhusu mahali kifaa chako kilipo.\n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA."
"%1$s inaweza kufikia data inayohusiana na kifaa hiki, kudhibiti programu na kubadilisha mipangilio ya kifaa hiki.\n\nIkiwa una maswali yoyote, wasiliana na %2$s."
"Kifaa hiki kinamilikiwa na shirika lako.\n\nMsimamizi wako wa TEHAMA anaweza kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa maudhui ya shirika, programu, data inayohusiana na kifaa chako na maelezo kuhusu mahali kifaa chako kilipo.\n\nKwa maelezo zaidi, wasiliana na msimamizi wako wa TEHAMA."
"Shirika lako limesakinisha mamlaka ya cheti kwenye kifaa hiki. Huenda shughuli kwenye mtandao wako salama zikafuatiliwa au kubadilishwa."
"Shirika lako limesakinisha mamlaka ya cheti katika wasifu wako wa kazini. Huenda shughuli kwenye mtandao wako salama zikafuatiliwa au kubadilishwa."
"Mamlaka ya cheti imesakinishwa kwenye kifaa hiki. Huenda shughuli kwenye mtandao wako salama zikafuatiliwa au kubadilishwa."
"Msimamizi wako amewasha kumbukumbu ya kuingia mtandaoni, ambayo hufuatilia shughuli kwenye kifaa chako."
"Msimamizi wako amewasha kumbukumbu ya kuingia mtandaoni ambayo hufuatilia shughuli kwenye wasifu wako wa kazini ila si kwenye wasifu wako wa binafsi."
"Kifaa hiki kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s. Shughuli zako za mtandaoni kwenye programu za kazini, ikijumuisha barua pepe na data ya kuvinjari, zinaonekana kwa msimamizi wako wa TEHAMA na mtoa huduma wa VPN."
"Kifaa hiki kimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s na %2$s. Shughuli zako za mtandaoni kwenye programu za kazini, ikijumuisha barua pepe na data ya kuvinjari, zinaonekana kwa msimamizi wako wa TEHAMA na mtoa huduma wa VPN."
"Programu zako za kazini zimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s. Shughuli zako za mtandaoni kwenye programu za kazini, ikijumuisha barua pepe na data ya kuvinjari, zinaonekana kwa msimamizi wako TEHAMA na mtoa huduma wa VPN."
"Programu zako binafsi zimeunganishwa kwenye intaneti kupitia %1$s. Shughuli zako za mtandaoni kwenye programu za kazini, ikijumuisha barua pepe na data ya kuvinjari, zinaonekana kwa mtoa huduma wako wa VPN."
" "
"Fungua mipangilio ya VPN"
"Kifaa hiki kinadhibitiwa na mzazi wako. Mzazi wako anaweza kuona na kudhibiti maelezo kama vile programu unazotumia, mahali ulipo na muda unaotumia kwenye kifaa."
"VPN"
"Imefunguliwa na kipengele cha kutathmini hali ya kuaminika"
"%1$s. %2$s"
"Mipangilio ya sauti"
"Wekea maudhui manukuu kiotomatiki"
"Funga kidokezo cha manukuu"
"Kuwekelea manukuu"
"washa"
"zima"
"Sauti na mtetemo"
"Mipangilio"
"Programu imebandikwa"
"Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kipengele cha Nyuma na Muhtasari ili ubandue."
"Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kitufe cha kurudisha Nyuma na cha Mwanzo kwa pamoja ili ubandue."
"Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Telezesha kidole juu na ushikilie ili uibandue."
"Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kipengele cha Muhtasari ili ubandue."
"Hali hii huifanya ionekane hadi utakapoibandua. Gusa na ushikilie kitufe cha Mwanzo ili ubandue."
"Data binafsi inaweza kufikiwa (kama vile maudhui ya barua pepe na anwani)."
"Programu iliyobandikwa inaweza kufungua programu zingine."
"Ili ubandue programu hii, gusa na ushikilie vitufe vya Nyuma na Muhtasari"
"Ili ubandue programu hii, gusa na ushikilie vitufe vya Nyuma na Ukurasa wa Mwanzo"
"Ili ubandue programu hii, telezesha kidole juu na ushikilie"
"Nimeelewa"
"Hapana"
"Programu imebandikwa"
"Programu imebanduliwa"
"Piga simu"
"Mfumo"
"Piga"
"Maudhui"
"Kengele"
"Arifa"
"Bluetooth"
"Masafa ya ishara ya kampuni ya simu"
"Zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia"
"Piga"
"Kutetema"
"Zima sauti"
"%1$s. Gusa ili urejeshe."
"%1$s. Gusa ili uweke mtetemo. Huenda ikakomesha huduma za zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia."
"%1$s. Gusa ili ukomeshe. Huenda ikakomesha huduma za zana za walio na matatizo ya kuona au kusikia."
"%1$s. Gusa ili uweke mtetemo."
"%1$s. Gusa ili usitishe."
"Gusa ili ubadilishe hali ya programu inayotoa milio ya simu"
"zima sauti"
"washa sauti"
"tetema"
"Vidhibiti %s vya sauti"
"Itatoa mlio arifa ikitumwa na simu ikipigwa (%1$s)"
"Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo"
"Sehemu ya kuonyesha hali"
"Hali ya onyesho la kirekebishi cha kiolesura cha mfumo"
"Washa hali ya onyesho"
"Onyesha hali ya onyesho"
"Ethaneti"
"Kengele"
"Pochi"
"Weka njia ya kulipa ili uweze kununua kwa njia salama na haraka zaidi ukitumia simu yako"
"Onyesha zote"
"Gusa ili ufungue"
"Inasasisha"
"Fungua ili utumie"
"Hitilafu imetokea wakati wa kuleta kadi zako, tafadhali jaribu tena baadaye"
"Mipangilio ya kufunga skrini"
"Kichanganuzi cha msimbo wa QR"
"Inasasisha"
"Wasifu wa kazini"
"Hali ya ndegeni"
"Hutasikia kengele yako inayofuata ya saa %1$s"
"saa %1$s"
"siku ya %1$s"
"Mtandaopepe"
"Wasifu wa kazini"
"Kinafurahisha kwa baadhi ya watu lakini si wote"
"Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo kinakupa njia zaidi za kugeuza na kubadilisha kiolesura cha Android ili kikufae. Vipengele hivi vya majaribio vinaweza kubadilika, kuharibika au kupotea katika matoleo ya siku zijazo. Endelea kwa uangalifu."
"Vipengele hivi vya majaribio vinaweza kubadilika, kuharibika, au kupotea katika matoleo ya siku zijazo. Endelea kwa uangalifu."
"Nimeelewa"
"Hongera! Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo kimeongezwa kwenye mipangilio"
"Ondoa kwenye Mipangilio"
"Je, ungependa kuondoa Kirekebishi cha kiolesura cha mfumo kwenye mipangilio na uache kutumia vipengele vyake vyote?"
"Je, ungependa kuwasha Bluetooth?"
"Ili uunganishe Kibodi yako kwenye kompyuta yako kibao, lazima kwanza uwashe Bluetooth."
"Washa"
"Udhibiti wa arifa"
"Imewashwa - Inayolenga nyuso"
"Ukiwa na udhibiti wa arifa, unaweza kuweka kiwango cha umuhimu wa arifa za programu kuanzia 0 hadi 5. \n\n""Kiwango cha 5"" \n- Onyesha katika sehemu ya juu ya orodha ya arifa \n- Ruhusu ukatizaji wa skrini nzima \n- Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati\n\n""Kiwango cha 4"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Ruhusu arifa za kuchungulia kila wakati \n\n""Kiwango cha 3"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia\n\n""Kiwango cha 2"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima\n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia \n- Usiruhusu kamwe sauti au mtetemo \n\n""Kiwango cha 1"" \n- Zuia ukatizaji wa skrini nzima \n- Usiruhusu kamwe arifa za kuchungulia \n- Usiruhusu kamwe sauti na mtetemo \n- Usionyeshe skrini iliyofungwa na sehemu ya arifa \n- Onyesha katika sehemu ya chini ya orodha ya arifa \n\n""Kiwango cha 0"" \n- Zuia arifa zote kutoka programu"
"Nimemaliza"
"Tumia"
"Zima arifa"
"Kimya"
"Chaguomsingi"
"Otomatiki"
"Hakuna sauti wala mtetemo"
"Hakuna sauti wala mtetemo na huonekana upande wa chini katika sehemu ya mazungumzo"
"Huenda ikalia au kutetema kulingana na mipangilio ya kifaa"
"Huenda ikalia au kutetema kulingana na mipangilio ya kifaa. Mazungumzo kutoka kiputo cha %1$s kwa chaguomsingi."
"Ruhusu mfumo ubainishe iwapo arifa hii inapaswa kutoa sauti au mtetemo"
"<b>Hali:</b> Imepandishwa Hadhi Kuwa Chaguomsingi"
"<b>Status:</b> Imeshushwa Hadhi Kuwa Kimya"
"<b>Hali:</b> Imeorodheshwa Katika Nafasi ya Juu"
"<b>Hali:</b> Imeorodheshwa Katika Nafasi ya Chini"
"Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa"
"Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa. Huonekana kama kiputo"
"Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa. Hukatiza kipengele cha Usinisumbue"
"Huonyeshwa kwenye sehemu ya juu ya arifa za mazungumzo na kama picha ya wasifu kwenye skrini iliyofungwa. Huonekana kama kiputo na hukatiza kipengele cha Usinisumbue"
"Kipaumbele"
"%1$s haitumii vipengele vya mazungumzo"
"Arifa hizi haziwezi kubadilishwa."
"Arifa za simu haziwezi kubadilishwa."
"Kikundi hiki cha arifa hakiwezi kuwekewa mipangilio hapa"
"Arifa wakilishi"
"Arifa zote za %1$s"
"Angalia zaidi"
"Arifa hii <b>imepandishwa hadhi kiotomatiki na mfumo kuwa Chaguomsingi</b>."
"Arifa hii <b>imeshushwa hadhi kiotomatiki na mfumo kuwa Kimya</b>."
"Arifa hii <b>imeorodheshwa kiotomatiki katika nafasi ya juu</b> katika kiwango chako."
"Arifa hii <b>imeorodheshwa kiotomatiki katika nafasi ya chini</b> katika kiwango chako."
"Mpe msanidi programu maoni yako. Je, hatua hii ilikuwa sahihi?"
"Vidhibiti vya arifa %1$s vimefunguliwa"
"Vidhibiti vya arifa vya %1$s vimefungwa"
"Mipangilio zaidi"
"Weka mapendeleo"
"Onyesha kiputo"
"Ondoa viputo"
"%1$s "
"vidhibiti vya arifa"
"chaguo za kuahirisha arifa"
"Nikumbushe"
"Tendua"
"Imeahirishwa kwa %1$s"
"{count,plural, =1{Saa #}=2{Saa #}other{Saa #}}"
"{count,plural, =1{Dakika #}other{Dakika #}}"
"Kiokoa Betri"
"Kitufe cha %1$s"
"Mwanzo"
"Nyuma"
"Juu"
"Chini"
"Kushoto"
"Kulia"
"Katikati"
"Tab"
"Space"
"Enter"
"Nafasinyuma"
"Cheza/Sitisha"
"Simamisha"
"Inayofuata"
"Iliyotangulia"
"Rudisha nyuma"
"Sogeza mbele Haraka"
"Page Up"
"Page Down"
"Futa"
"Mwanzo"
"Mwisho"
"Ingiza"
"Num Lock"
"Numpad %1$s"
"Ondoa kiambatisho"
"Mfumo"
"Mwanzo"
"Zilizotumika majuzi"
"Nyuma"
"Arifa"
"Mikato ya Kibodi"
"Badili mkao wa kibodi"
"Programu"
"Programu ya usaidizi"
"Kivinjari"
"Anwani"
"Barua pepe"
"SMS"
"Muziki"
"Kalenda"
"Usinisumbue"
"Njia ya mkato ya vitufe vya sauti"
"Betri"
"Vifaa vya sauti"
"Fungua mipangilio"
"Imeunganisha spika za masikioni"
"Imeunganisha vifaa vya sauti"
"Kiokoa Data"
"Kiokoa Data kimewashwa"
"Imewashwa"
"Imezimwa"
"Hakipatikani"
"pata maelezo zaidi"
"Sehemu ya viungo muhimu"
"Mpangilio"
"Aina ya kitufe cha kushoto cha ziada"
"Aina ya kitufe cha kulia cha ziada"
- "Ubao wa kunakili"
- "Msimbo wa ufunguo"
- "Thibitisha ugeuzaji, kibadilishaji cha kibodi"
- "Hamna"
- "Ya Kawaida"
- "Kushikamana"
- "Inayoegemea kushoto"
- "Inayoegemea kulia"
"Hifadhi"
"Weka upya"
"Ubao klipu"
"Kitufe maalum cha uelekezaji"
"Msimbo wa ufunguo wa kushoto"
"Msimbo wa ufunguo wa kulia"
"Aikoni ya kushoto"
"Aikoni ya kulia"
"Shikilia na uburute ili uongeze vigae"
"Shikilia na uburute ili upange vigae upya"
"Buruta hapa ili uondoe"
"Unahitaji angalau vigae %1$d"
"Badilisha"
"Wakati"
- "Onyesha saa, dakika na sekunde"
- "Onyesha saa na dakika (chaguomsingi)"
- "Usionyeshe aikoni hii"
- "Onyesha asilimia kila wakati"
- "Onyesha asilimia wakati inachaji (chaguomsingi)"
- "Usionyeshe aikoni hii"
"Onyesha aikoni za arifa zisizo muhimu"
"Nyingine"
"ondoa kigae"
"ongeza kigae mwishoni"
"Hamisha kigae"
"Ongeza kigae"
"Hamishia kwenye %1$d"
"Ongeza kwenye nafasi ya %1$d"
"Nafasi ya %1$d"
"Kigae kimewekwa"
"Kigae kimeondolewa"
"Kihariri cha Mipangilio ya haraka."
"Arifa kutoka %1$s: %2$s"
"Fungua mipangilio."
"Fungua mipangilio ya haraka."
"Funga mipangilio ya haraka."
"Umeingia katika akaunti ya %s"
"chagua mtumiaji"
"Hakuna intaneti"
"Fungua mipangilio ya %s."
"Badilisha orodha ya mipangilio."
"Menyu ya kuzima/kuwasha"
"Ukurasa wa %1$d kati ya %2$d"
"Skrini iliyofungwa"
"Simu ilizima kutokana na joto"
"Simu yako sasa inafanya kazi ipasavyo.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Simu yako ilikuwa moto sana, kwa hivyo ilijizima ili ipoe. Simu yako sasa inafanya kazi ipasavyo.\n\nSimu yako inaweza kuwa moto sana ikiwa:\n • Unatumia programu zinazotumia vipengee vingi (kama vile michezo ya video, video au programu za uelekezaji)\n • Unapakua au upakie faili kubwa\n • Unatumia simu yako katika maeneo yenye halijoto ya juu"
"Angalia hatua za utunzaji"
"Joto la simu linaongezeka"
"Baadhi ya vipengele havitatumika kwenye simu wakati inapoa.\nGusa ili upate maelezo zaidi"
"Simu yako itajaribu kupoa kiotomatiki. Bado unaweza kutumia simu yako, lakini huenda ikafanya kazi polepole. \n\nPindi simu yako itakapopoa, itaendelea kufanya kazi kama kawaida."
"Angalia hatua za utunzaji"
"Chomoa kifaa chako"
"Kifaa chako kinapata joto karibu na mlango wa kuchaji. Ikiwa kimeunganishwa kwenye chaja au kifuasi cha USB, kichomoe na uwe makini kwani kebo inaweza kuwa imepata joto."
"Angalia hatua za ulinzi"
"Njia ya mkato ya kushoto"
"Njia ya mkato ya kulia"
"Njia ya mkato ya kushoto pia inafungua"
"Njia ya mkato ya kulia pia inafungua"
"Hamna"
"Anzisha programu %1$s"
"Programu zingine"
"Mduara"
"Alama ya kuongeza"
"Alama ya kuondoa"
"Kushoto"
"Kulia"
"Menyu"
"Programu ya %1$s"
"Arifa"
"Betri"
"Picha za skrini"
"Programu zinazofunguka papo hapo"
"Weka mipangilio"
"Hifadhi"
"Vidokezo"
"Programu Zinazofunguka Papo Hapo"
"Programu ya %1$s inatumika"
"Programu inafunguka bila kusakinishwa."
"Programu inafunguka bila kusakinishwa. Gusa ili upate maelezo zaidi."
"Maelezo ya programu"
"Tumia kivinjari"
"Data ya simu"
"%1$s%2$s"
"%1$s, %2$s"
"Wi-Fi imezimwa"
"Bluetooth imezimwa"
"Kipengele cha Usinisumbue kimezimwa"
"Umewasha kipengele cha Usinisumbue"
"Kipengele cha Usinisumbue kimewashwa na sheria ya kiotomatiki %s."
"Kipengele cha usinisumbue kimewashwa na programu (%s)."
"Kipengele cha Usinisumbue kimewashwa na sheria ya kiotomatiki au programu."
"Programu zinatumika chinichini"
"Gusa ili upate maelezo kuhusu betri na matumizi ya data"
"Ungependa kuzima data ya mtandao wa simu?"
"Hutaweza kufikia data au intaneti kupitia %s. Intaneti itapatikana kupitia Wi-Fi pekee."
"mtoa huduma wako"
"Ungependa kubadilisha ili utumie data ya mtandao wa %s?"
"Data ya mtandao wa simu haitabadilika kiotomatiki kulingana na upatikanaji"
"Hapana"
"Ndiyo, badili"
"Kwa sababu programu nyingine inazuia ombi la ruhusa, hatuwezi kuthibitisha jibu lako katika Mipangilio."
"Ungependa kuruhusu %1$s ionyeshe vipengee %2$s?"
"- Inaweza kusoma maelezo kutoka %1$s"
"- Inaweza kuchukua hatua ndani ya %1$s"
"Ruhusu %1$s ionyeshe vipengee kutoka programu yoyote"
"Ruhusu"
"Kataa"
"Gusa ili uratibu wakati wa kuwasha Kiokoa Betri"
"Washa wakati betri inakaribia kuisha"
"Hapana"
"Dump SysUI Heap"
"Inatumika"
"Programu zinatumia %s yako."
", "
" na "
"Inatumiwa na %1$s"
"Ilitumiwa hivi majuzi na %1$s"
"(kazini)"
"Simu"
"(kupitia %s)"
"(%s)"
"(%1$s • %2$s)"
"kamera"
"mahali"
"maikrofoni"
"kurekodi skrini"
"Wimbo hauna jina"
"Hali tuli"
"Ukubwa wa Fonti"
"Punguza"
"Kuza"
"Dirisha la Ukuzaji"
"Vidhibiti vya Dirisha la Ukuzaji"
"Vuta karibu"
"Sogeza mbali"
"Sogeza juu"
"Sogeza chini"
"Sogeza kushoto"
"Sogeza kulia"
"Swichi ya ukuzaji"
"Kuza skrini nzima"
"Kuza sehemu ya skrini"
"Swichi"
"Gusa ili ufungue vipengele vya ufikivu. Weka mapendeleo au ubadilishe kitufe katika Mipangilio.\n\n""Angalia mipangilio"
"Sogeza kitufe kwenye ukingo ili ukifiche kwa muda"
"Sogeza juu kushoto"
"Sogeza juu kulia"
"Sogeza chini kushoto"
"Sogeza chini kulia"
"Sogeza kwenye ukingo kisha ufiche"
"Sogeza nje ya ukingo kisha uonyeshe"
"geuza"
"Vidhibiti vya vifaa"
"Chagua programu ili uweke vidhibiti"
"{count,plural, =1{Umeweka kidhibiti #.}other{Umeweka vidhibiti #.}}"
"Kimeondolewa"
"Ungependa kuweka %s?"
"%s inaweza kuchagua ni vidhibiti na maudhui yapi yatakayoonekana hapa."
"Ungependa kuondoa vidhibiti vya %s?"
"Kimewekwa kwenye vipendwa"
"Kimewekwa kwenye vipendwa, nafasi ya %d"
"Kimeondolewa kwenye vipendwa"
"weka kwenye vipendwa"
"ondoa kwenye vipendwa"
"Sogeza kwenye nafasi ya %d"
"Vidhibiti"
"Chagua vidhibiti vya kufikia ukitumia Mipangilio ya Haraka"
"Shikilia na uburute ili upange vidhibiti upya"
"Umeondoa vidhibiti vyote"
"Mabadiliko hayajahifadhiwa"
"Angalia programu zingine"
"Imeshindwa kupakia vidhibiti. Angalia programu ya %s ili uhakikishe kuwa mipangilio yake haijabadilika."
"Vidhibiti vinavyooana havipatikani"
"Nyingine"
"Weka kwenye vidhibiti vya vifaa"
"Weka"
"Ondoa"
"Kimependekezwa na %s"
"Kifaa kimefungwa"
"Ungependa kuonyesha na udhibiti vifaa kwenye skrini iliyofungwa?"
"Unaweza kuweka vidhibiti kwa ajili ya vifaa vyako vya nje kwenye skrini iliyofungwa.\n\nProgramu ya kifaa chako huenda ikakuruhusu udhibiti baadhi ya vifaa bila kufungua simu au kompyuta kibao yako.\n\nUnaweza kufanya mabadiliko muda wowote kwenye Mipangilio."
"Ungependa kudhibiti vifaa kwenye skrini iliyofungwa?"
"Unaweza kudhibiti baadhi ya vifaa bila kufungua simu au kompyuta kibao yako. Programu ya kifaa chako hubainisha ni vifaa vipi vinaweza kudhibitiwa kwa njia hii."
"Hapana"
"Ndiyo"
"PIN ina herufi au alama"
"Thibitisha %s"
"Nambari ya PIN si sahihi"
"Weka PIN"
"Jaribu PIN nyingine"
"Thibitisha mabadiliko kwenye %s"
"Telezesha kidole ili uone zaidi"
"Inapakia mapendekezo"
"Maudhui"
"Ungependa kuficha kidhibiti hiki kwa %1$s?"
"Kipindi cha sasa cha maudhui hakiwezi kufichwa."
"Ficha"
"Endelea"
"Mipangilio"
"%1$s ulioimbwa na %2$s unacheza katika %3$s"
"%1$s kati ya %2$s"
"Cheza"
"Simamisha"
"Wimbo uliotangulia"
"Wimbo unaofuata"
"Inaunganisha"
"Cheza"
"Fungua %1$s"
"Cheza %1$s ulioimbwa na %2$s katika %3$s"
"Cheza %1$s katika %2$s"
"Kwa Ajili Yako"
"Tendua"
"Sogeza karibu ili ucheze kwenye %1$s"
"Ili ucheze maudhui kwenye kifaa hiki, sogeza karibu na %1$s"
"Inacheza kwenye %1$s"
"Hitilafu fulani imetokea. Jaribu tena."
"Inapakia"
"kompyuta kibao"
"Inatuma maudhui yako"
"Inatuma %1$s"
"Haitumiki, angalia programu"
"Hakipatikani"
"Kidhibiti hakipatikani"
"Imeshindwa kufikia %1$s. Angalia programu ya %2$s ili uhakikishe kuwa bado kidhibiti kipo na kuwa mipangilio ya programu haijabadilika."
"Fungua programu"
"Imeshindwa kupakia hali"
"Hitilafu, jaribu tena"
"Weka vidhibiti"
"Badilisha vidhibiti"
"Weka programu"
"Ondoa programu"
"Weka vifaa vya kutoa sauti"
"Kikundi"
"Umechagua kifaa 1"
"Umechagua vifaa %1$d"
"(imetenganishwa)"
"Imeshindwa kubadilisha. Gusa ili ujaribu tena."
"Unganisha kifaa"
"Ili utume kipindi hiki, tafadhali fungua programu."
"Programu isiyojulikana"
"Acha kutuma"
"Vifaa vya kutoa sauti vilivyopo"
"Sauti"
"%1$d%%"
"Spika na Skrini"
"Vifaa Vilivyopendekezwa"
"Inahitaji akaunti ya kulipia"
"Jinsi utangazaji unavyofanya kazi"
"Tangaza"
"Watu walio karibu nawe wenye vifaa oanifu vya Bluetooth wanaweza kusikiliza maudhui unayoyatangaza"
"Ili wasikilize tangazo lako, watu walio karibu wenye vifaa oanifu vya Bluetooth wanaweza kuchanganua msimbo wako wa QR au kutumia jina na nenosiri la tangazo lako"
"Jina la Tangazo"
"Nenosiri"
"Hifadhi"
"Inaanza…"
"Imeshindwa kutuma arifa"
"Imeshindwa kuhifadhi. Jaribu tena."
"Imeshindwa kuhifadhi."
"Tumia angalau herufi 4"
"Tumia herufi chini ya 16"
"Nambari ya muundo"
"Nambari ya muundo imewekwa kwenye ubao wa kunakili."
"Fungua mazungumzo"
"Wijeti za mazungumzo"
"Gusa mazungumzo ili uyaweke kwenye Skrini yako ya kwanza"
"Mazungumzo yako ya hivi majuzi yataonekana hapa"
"Mazungumzo yenye kipaumbele"
"Mazungumzo ya hivi majuzi"
"Siku %1$s zilizopita"
"Wiki moja iliyopita"
"Wiki mbili zilizopita"
"Zaidi ya wiki moja iliyopita"
"Zaidi ya wiki mbili zilizopita"
"Siku ya kuzaliwa"
"Ni siku ya kuzaliwa ya %1$s"
"Siku ya kuzaliwa inakaribia"
"Siku ya kuzaliwa ya %1$s inakaribia"
"Maadhimisho"
"Ni maadhimisho ya %1$s"
"Unashiriki mahali"
"%1$s anashiriki maelezo ya mahali"
"Habari mpya"
"%1$s ameshiriki hadithi mpya"
"Unatazama"
"Unasikiliza"
"Unacheza"
"Marafiki"
"Tupige gumzo usiku!"
"Maudhui yataonekana hivi karibuni"
"Simu ambayo hukujibu"
"%d+"
"Angalia ujumbe wa hivi majuzi, simu ambazo hukujibu na taarifa za hali"
"Mazungumzo"
"Imesimamishwa na kipengele cha Usinisumbue"
"%1$s ametuma ujumbe: %2$s"
"%1$s ametuma picha"
"%1$s ana taarifa kuhusu hali: %2$s"
"Anapatikana"
"Tatizo la kusoma mita ya betri yako"
"Gusa ili upate maelezo zaidi"
"Hujaweka kengele"
"Kitambua alama ya kidole"
"thibitisha"
"weka kifaa"
"Tumia alama ya kidole kufungua"
"Uthibitishaji unahitajika. Gusa kitambua alama ya kidole ili uthibitishe."
"Simu inayoendelea"
"Data ya mtandao wa simu"
"%1$s / %2$s"
"Imeunganishwa"
"Imeunganishwa kwa muda"
"Muunganisho duni"
"Data ya mtandao wa simu haitaunganishwa kiotomatiki"
"Hakuna muunganisho"
"Hakuna mitandao mingine inayopatikana"
"Hakuna mitandao inayopatikana"
"Wi-Fi"
"Gusa mtandao ili uunganishe"
"Fungua ili uangalie mitandao"
"Inatafuta mitandao…"
"Imeshindwa kuunganisha kwenye mtandao"
"Wi-Fi haitaunganishwa kiotomatiki kwa sasa"
"Angalia yote"
"Ili kubadili mitandao, tenganisha ethaneti"
"Ili kuboresha hali ya matumizi ya kifaa, programu na huduma bado zinaweza kutafuta mitandao ya Wi‑Fi wakati wowote, hata wakati umezima Wi‑Fi. Unaweza kubadilisha mipangilio hii katika mipangilio ya kutafuta Wi-Fi. ""Badilisha"
"Zima hali ya ndegeni"
"%1$s ingependa kuongeza kigae kifuatacho kwenye Mipangilio ya Haraka"
"Kiongeze"
"Kisiongezwe"
"Chagua mtumiaji"
"{count,plural, =1{Programu # inatumika}other{Programu # zinatumika}}"
"Maelezo mapya"
"Programu zinazotumika"
"Programu hizi zinaendelea kufanya kazi, hata wakati huzitumii. Hali hii huboresha utendaji wa programu hizo, lakini pia inaweza kuathiri muda wa matumizi ya betri."
"Simamisha"
"Imesimamishwa"
"Imemaliza"
"Imenakiliwa"
"Kutoka %1$s"
"Ondoa maandishi yaliyonakiliwa"
"Badilisha maandishi yaliyonakiliwa"
"Badilisha picha iliyonakiliwa"
"Tuma kwenye kifaa kilicho karibu"
"Gusa ili uangalie"
"Maandishi yamenakiliwa"
"Picha imenakiliwa"
"Maudhui yamenakiliwa"
"Kihariri cha Ubao wa kunakili"
"Ubao wa kunakili"
"Onyesho la kukagua picha"
"ubadilishe"
"Weka"
"Dhibiti watumiaji"
"Arifa hii hairuhusu kuburuta kwenye Skrini iliyogawanyika."
"Wi-Fi haipatikani"
"Hali ya kipaumbele"
"Kengele imewekwa"
"Kamera imezimwa"
"Maikrofoni imezimwa"
"Kamera na maikrofoni zimezimwa"
"{count,plural, =1{Arifa #}other{Arifa #}}"
"%1$s, %2$s"
"Kuandika vidokezo"
"Inaarifu"
"Ungependa kusimamisha utangazaji kwenye %1$s?"
"Ikiwa unatangaza kwenye %1$s au unabadilisha maudhui, tangazo lako la sasa litasimamishwa"
"Tangaza kwenye %1$s"
"Badilisha maudhui"
"Haijulikani"
"saa:dk"
"kk:dk"
"Fungua %1$s"
"• Programu hii imewekewa mipangilio"
"• Angalau kadi moja imewekwa kwenye Pochi"
"• Sakinisha programu ya kamera"
"• Programu hii imewekewa mipangilio"
"• Angalau kifaa kimoja kinapatikana"
"Gusa na ushikilie njia ya mkato"
"Ghairi"
"Badilisha skrini sasa"
"Kunjua simu"
"Ungependa kubadilisha skrini?"
"Kwa ubora wa juu, tumia kamera ya nyuma"
"Kwa ubora wa juu, geuza simu"
"Kifaa kinachokunjwa kikikunjuliwa"
"Kifaa kinachokunjwa kikigeuzwa"
"Chaji ya betri imesalia %s"
"Unganisha stylus yako kwenye chaja"
"Chaji ya betri ya Stylus imepungua"
"Kamera ya kuchukulia video"
"Huwezi kupiga simu kutoka kwenye wasifu huu"
"Sera ya mahali pako pa kazi inakuruhusu upige simu kutoka kwenye wasifu wa kazini pekee"
"Tumia wasifu wa kazini"
"Funga"
"Mipangilio ya skrini iliyofungwa"
"Wi-Fi haipatikani"
"Kamera imezuiwa"
"Kamera na maikrofoni zimezuiwa"
"Maikrofoni imezuiwa"
"Hali ya kipaumbele imewashwa"