"Kidhibiti cha Vifaa Visaidizi"
"Ruhusu %1$s ifikie %2$s yako"
"saa"
"Chagua %1$s ili idhibitiwe na %2$s"
"Programu hii inahitajika ili udhibiti wasifu wako wa %1$s. %2$s itaruhusiwa kufikia arifa zako na kufikia ruhusa zako za Simu, SMS, Anwani, Kalenda, Rekodi za nambari za simu na Vifaa vilivyo karibu."
"Programu"
"Tiririsha programu za simu yako"
"Ruhusu %1$s ifikie maelezo haya kutoka kwenye simu yako"
"Huduma za kifaa kilichounganishwa kwingine"
"Programu ya %1$s inaomba ruhusa kwa niaba ya %2$s yako ili itiririshe programu kati ya vifaa vyako"
"Ruhusu %1$s ifikie maelezo haya kutoka kwenye simu yako"
"Arifa"
"Inaweza kusoma arifa zote, ikiwa ni pamoja na maelezo kama vile anwani, ujumbe na picha"
"Picha na maudhui"
"Huduma za Google Play"
"Programu ya %1$s inaomba ruhusa kwa niaba ya %2$s yako ili ifikie picha, maudhui na arifa za simu yako"
"kifaa"
"Ruhusu"
"Usiruhusu"
"Nyuma"
"Hamishia idhini za programu kwenye saa yako"
"Ili kurahisisha kuweka mipangilio ya saa yako, programu ambazo zimesakinishwa kwenye saa yako wakati wa kuweka mipangilio zitatumia ruhusa sawa na zinazotumika kwenye simu yako.\n\n Ruhusa hizi huenda zikajumuisha ufikiaji wa maikrofoni ya saa yako na maelezo ya mahali ilipo saa yako."
"Aikoni ya Programu"
"Kitufe cha Maelezo Zaidi"