"Weka PIN yako"
"Weka mchoro wako"
"Weka nenosiri lako"
"Kadi si Sahihi."
"Betri imejaa"
"%s • Inachaji bila kutumia waya"
"%s • Inachaji"
"%s • Inachaji"
"%s • Inachaji kwa kasi"
"%s • Inachaji pole pole"
"%s • Hali ya kuchaji imeboreshwa ili kulinda betri"
"Bonyeza Menyu ili kufungua."
"Mtandao umefungwa"
"Hakuna SIM kadi"
"Weka SIM kadi."
"SIM kadi haiko au haisomeki. Weka SIM kadi."
"SIM kadi isiyotumika."
"SIM kadi yako imefungwa kabisa.\n Wasiliana na mtoa huduma za mtandao ili upate SIM kadi nyingine."
"SIM kadi imefungwa."
"SIM kadi imefungwa kwa PUK."
"Inafungua SIM kadi..."
"Eneo la PIN"
"Nenosiri la kifaa"
"Eneo la PIN ya SIM"
"Eneo la PUK ya SIM"
"Futa"
"Zima eSIM"
"Imeshindwa kuzima eSIM"
"Hitilafu imetokea wakati wa kuzima eSIM."
"Weka"
"Mchoro si sahihi"
"Nenosiri si sahihi"
"Nambari ya PIN si sahihi"
"{count,plural, =1{Jaribu tena baada ya sekunde #.}other{Jaribu tena baada ya sekunde #.}}"
"Weka PIN ya SIM."
"Weka PIN ya SIM ya \"%1$s\"."
"%1$s Zima eSIM ili utumie kifaa bila huduma ya vifaa vya mkononi."
"SIM sasa imefungwa. Weka nambari ya PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma za mtandao kwa maelezo."
"SIM ya \"%1$s\" sasa imezimwa. Weka nambari ya PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo."
"Weka nambari ya PIN unayopendelea"
"Thibitisha nambari ya PIN unayopendelea"
"Inafungua SIM kadi..."
"Andika PIN ya tarakimu 4 hadi 8."
"Nambari ya PUK inafaa kuwa na tarakimu 8 au zaidi."
"Umeandika vibaya PIN mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umeandika vibaya nenosiri lako mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umechora vibaya mchoro wako wa kufungua mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Nambari ya PIN ya SIM si sahihi, sasa lazima uwasiliane na mtoa huduma za mtandao ndipo ufungue kifaa chako."
"{count,plural, =1{Nambari ya PIN ya SIM si sahihi, unaweza kujaribu mara # kabla ya kulazimika kuwasiliana na mtoa huduma wako ili afungue kifaa chako.}other{Nambari ya PIN ya SIM si sahihi, unaweza kujaribu mara #. }}"
"SIM haiwezi kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako."
"{count,plural, =1{Nambari ya PUK ya SIM si sahihi, unaweza kujaribu mara # kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa.}other{Nambari ya PUK ya SIM si sahihi, unaweza kujaribu mara # kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa.}}"
"Utendakazi wa PIN ya SIM haujafanikiwa!"
"Utendakazi wa PUK ya SIM haujafanikiwa!"
"Kubadili mbinu ya kuingiza data"
"Hali ya ndegeni"
"Unafaa kuchora mchoro baada ya kuwasha kifaa upya"
"Unafaa kuweka PIN baada ya kuwasha kifaa upya"
"Unafaa kuweka nenosiri baada ya kuwasha kifaa upya"
"Kwa usalama wa ziada, tumia mchoro badala yake"
"Kwa usalama wa ziada, tumia PIN badala yake"
"Kwa usalama wa ziada, tumia nenosiri badala yake"
"Msimamizi amefunga kifaa"
"Umefunga kifaa mwenyewe"
"Haitambuliwi"
"Ili ufungue kwa Uso, ruhusu kamera ifikiwe"
"{count,plural, =1{Weka PIN ya SIM. Unaweza kujaribu mara # kuweka PIN ya SIM kabla ya kulazimika kuwasiliana na mtoa huduma wako ili afungue kifaa chako endapo kitafungwa.}other{Weka PIN ya SIM. Unaweza kujaribu mara #.}}"
"{count,plural, =1{Sasa SIM imefungwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Unaweza kujaribu mara # kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo.}other{Sasa SIM imefungwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Unaweza kujaribu mara # kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo.}}"
"Chaguomsingi"
"Kiputo"
"Analogi"
"Fungua kifaa chako ili uendelee"