"Programu Msingi za Android"
"Hifadhi ya Anwani"
"Anwani"
"Kupandishwa gredi kwa anwani kunahitaji kumbukumbu zaidi."
"Inapandisha gredi hifadhi ya anwani"
"Gusa ili ukamilishe kusasisha anwani."
"Anwani"
"Nyingineyo"
"Barua ya sauti kutoka "
"Nakili hifadhidata ya anwani"
"Unaelekea 1) kuunda nakala ya hifadhidata yako ambayo inajumuisha maelezo yote yanayohusiana na anwani na kumbukumbu zote za simu katika hifadhi ya ndani, na 2) uitume kwa barua pepe. Kumbuka kufuta nakala pindi tu utakapomaliza kuinakili kutoka kwenye kifaa au barua pepe itakapopokewa."
"Futa sasa"
"Anza"
"Chagua programu ili kutuma faili yako"
"Db ya anwani imeambatishwa"
"Kilichoambatishwa ni hifadhidata ya anwani zangu iliyo na maelezo yote ya anwani zangu. Ishughulikie kwa uangalifu."